Posts

Showing posts from January, 2026
Image
  SERIKALI YAIMARISHA MIUNDOMBINU YA AFYA ARUSHA, YAAGIZA UJENZI WA GOROFA KITUO CHA AFYA KALOLENI. Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kuimarisha miundombinu ya utoaji wa huduma za afya nchini, ambapo Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ameziagiza mamlaka za Halmashauri ya Jiji la Arusha kuanza mara moja ujenzi wa jengo la gorofa katika Kituo cha Afya Kaloleni ili kukabiliana na msongamano mkubwa wa wagonjwa. Waziri Mchengerwa ametoa maagizo hayo wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua utoaji wa huduma za afya katika kituo hicho, akisema idadi kubwa ya wananchi wanaohitaji huduma imekuwa ikiongezeka, hali inayosababisha changamoto katika utoaji wa huduma kwa ufanisi. Amesema ujenzi wa jengo la gorofa utasaidia kuongeza wigo wa huduma, kuboresha mazingira ya kazi kwa wahudumu wa afya na kuhakikisha wananchi wanapata huduma kwa wakati na kwa ubora unaostahili. Katika hatua nyingine, Waziri Mchengerwa amesifu jitihada za watoa huduma wa afya katika Kituo cha Afya Kaloleni, akiwem...

SIKU 100 ZA RAIS SAMIA: KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA KASI YA WIZARA YA NISHATI.

Image
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Wizara ya Nishati kwa kazi kubwa inayoendelea kutekelezwa ndani ya siku 100 za uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwemo kuanza kusambaza umeme katika vitongoji 9,009, hatua inayoonesha mwelekeo chanya wa utendaji wa kipindi cha pili cha Serikali ya Awamu ya Sita. Pongezi hizo zimetolewa Januari 20, 2026 jijini Dodoma na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Subira Mgalu, wakati wa kikao cha kwanza kati ya Wizara ya Nishati, taasisi zilizo chini yake pamoja na Kamati hiyo.  Kikao hicho kimelenga kuijengea Kamati uelewa kuhusu muundo na majukumu ya Wizara ya Nishati, pamoja na sera na sheria mbalimbali zinazosimamiwa na Wizara hiyo katika kuendeleza Sekta ya Nishati nchini. Akizungumza katika kikao hicho, Mhe. Mgalu amesema mafanikio yaliyopatikana ndani ya siku 100 za uongozi wa Rais Samia ni ushahidi wa dhamira ya Serikali katika kuhakikisha upatikanaji wa nishati ya uhakika kwa wananchi....

GHANA, TANZANIA STRENGTHEN LOCAL CONTENT COLLABORATION IN MINING.

Image
  πŸ“Accra, Ghana Tanzania is set to deepen domestic participation, industrial growth and value retention in its mining sector following the strengthening of institutional collaboration with Ghana on Local Content implementation. The two countries are enhancing cooperation on policies and best practices aimed at increasing the participation of local citizens and firms across the mining value chain, strengthening domestic institutions and ensuring that a greater share of mineral wealth benefits national economies. This was underscored during an official experience-sharing visit by a delegation from Tanzania’s Mining Commission to Ghana’s Minerals Commission, which focused on exchanging knowledge, policy approaches and implementation frameworks for Local Content in the mining sector. Speaking during the visit, Chairperson of the Local Content Committee from Tanzania, Dr Theresia C. Numbi, said Local Content is not merely a legal requirement but a strategic tool for national developmen...

POLISI WAKANUSHA TAARIFA YA KUCHOMWA KWA NYUMBA YA ASKARI ARUSHA.

Image
  ARUSHA. Na Gladness Kowero.  Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limekanusha taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kuwa nyumba ya kiongozi wa Polisi Mkoani humo imechomwa moto. Akitoa taarifa hiyo leo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine Masejo amesema Jeshi hilo linaendelea kuwasiliana na mamlaka zinazosimamia vyombo vya habari na zile zinazo husika na ulinzi wa taarifa binafsi kwa hatua zaidi za kisheria. Aidha, ametoa wito na onyo kwa baadhi ya watu wenye tabia za kuandaa na kusambaza taarifa za uongo, kupandikiza chuki na kuchonganisha jamii kuacha kufanya hivyo kwani ni kinyume na sheria. Sambamba na hilo amebainisha kuwa watu wanaosambaza taarifa kama hizo hawanufaishi jamii na wala haziwanufaishi hata wao wenyewe.

TANESCO PROVIDES CLEAN ELECTRIC COOKING EDUCATION AND DONATES STOVE TO MALAIKA PRIMARY SCHOOL

Image
  By Gladness Kowero πŸ“ DAR ES SALAAM. The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) Kigamboni Region has provided education on the use of clean electric cooking energy to parents and teachers at Malaika Primary School, as part of government efforts to promote clean cooking solutions. The awareness campaign was conducted on January 13, 2026, during the school's official reopening day popularly known as Back to School, which brought together parents, teachers, and school management. Speaking during the event, Ms. Tumaini Mahwaya, TANESCO Kigamboni Regional Public Relations and Customer Service Officer, said the initiative aimed to equip parents and teachers with knowledge on the benefits of using electricity for cooking, citing safety, affordability, and environmental protection as key advantages. She noted that promoting electric cooking aligns with national strategies to reduce reliance on unsafe and environmentally harmful energy sources. To support the practical implementation ...

UGANDA ELECTION COMMISSION CONTINUES RECEIVING RESULTS AS MUSEVENI TAKES EARLY LEAD

Image
  By Gladness Kowero. πŸ“ KAMPALA, Uganda Uganda's Electoral Commission continues to receive results from various polling stations following Thursday's general election, with preliminary figures indicating that incumbent President Yoweri Museveni is leading. According to early results announced so far, Museveni has secured 76.25 percent of the votes counted, based on tallies from nearly half of the polling stations nationwide. Opposition candidate Robert Kyagulanyi, popularly known as Bobi Wine, is currently in second place with 19.85 percent, while the remaining votes are shared among six other candidates. Speaking to journalists after casting his vote on Thursday, President Museveni said he expected to win with 80 percent of the vote, “if there is no rigging.” Earlier, the Chairman of the Electoral Commission, Justice Simon Byabakama, said voting generally proceeded well across the country, despite some challenges. He acknowledged technical problems in certain areas, including...